Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Monday, 5 March 2012

Wanawake na Mitindo Leo-Da'SUBIRA WAHURE DESIGNS!!!!!!



Waungwana Wanawake wa leo wapo mbio sana kutafuta/Kusaidiana katika Maisha.
Da'Subira anaomba  wenye mapenzi mema,wamsaidie kufikisha Ujumbe huu.
Hizo ndizo kazi afanyazo.
Ukitaka kumfahamu zaidi ingia.http://www.subirawahure.blogspot
  Hongera sana da'Subira,Kazi nzuri na Mungu akubariki kwa kazi zaMikono yako!!
                         























1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

hakika nakupongeza mno kazi nzuri sana hilo gauni nyeusi nimelipenda mno...