Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Thursday, 9 February 2012

Watoto wa Shule na Walimu Wao!!!!

Jee tutafika?Walimu Moto wanafunzi Moto Serikali Moto!!nani ni nani?

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli inabidi tuawaambie watoto wetu hizi simu sio ndio iwe kila wakati na simu hata kumsikiliza mwalimu hakuna..Watoto hawasomi miaka hii ...ila si wote.

Ni kweli kama mwalimu hana elimu atafundishaje?

Rachel siwa Isaac said...

Kabisa da'Yasinta,kila kitu kikizidi ni tabu!!!