Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 25 January 2012

Wanawake na Urembo,Unapenda Shanga?

                                Wengine wanavaa Kiunoni.
                                     Wengine wanavaa Shingoni
                            Wengine Kichwani,Mikononi...........
Nimatumaini yangu wote muwazima!!!
Haya wapendwa leo tuangalie Urembo huu wa Shanga,Jee wewe Mama,Dada wapenda Shanga?
Nawe Baba,kaka Unapenda Mkeo,Mchumba wako ajipambe kwa Shanga?
Kuna wanaopenda kuvaa Miguuni,kuna Mikanda, Bangili,Hereni naa........,Jee wewe Unapenda/Ungependa Uvae/Avae wapi?Wengine wanapenda za Bendera ya Taifa na......Vyovyote vile ilimradi SHANGAAA!.
Kitamaduni zaidi au Vipi?

Karibuni sana Waungwa!!!!!

8 comments:

Anonymous said...

Shwali zito sana hilo ndugu yangu ila si wajua shanga zina kazi zake maeneo mengine kikubwa shanga zapendeza kokote unatakiwa uzipatie tu wapi kwa kuvaa na kuvalia na nini kwangu mimi na penda mke wangu/mchumba wangu azivae zile zenye kazi maahalum

Yasinta Ngonyani said...

Yaani ungejua udhaifu wangu wa mambo haya ya kitamaduni we acha tu mimi napenda zaidi kuvaa Miguuni, Mikanda, Bangili,Hereni na shingoni. Halafu ziwe na rangi kali nadhani mnajua naamanisha nini:-)

SIMON KITURURU said...

Mie napenda Shanga ila chichemi ni kwanini -NAAIBU!

ray njau said...

Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

MH SIWAELEWI

Swahili na Waswahili said...

Mdau wa kwanza si zito bwana mbona jibu jepesi umepata mtu wangu!@Da'Yasinta Nimekusoma/kukupata vyema nakujua mtu wangu na mambo ya Asilia!!!!!

@Kaka Kituru uthione Aibu jamani tujuze wenziooo!!!
@kaka Ray tehtehtehte unamisemo wewe, nimeipenda hiyo,yaani umeongea kikubwa au sio?

@kaka Kamala jamani nini hujaelewa apo labda wenzio wanaweza kukuelewesha, weka wazi kaka yangu!

Nawe kama ujatujuza kama unapenda SHANGA hUJACHELEWA NA MLANGO U WAZIIIIII.

Ahsanteni wapendwa kwa mawazo yenuu, Tuendeleeeeee.

SIMON KITURURU said...

Da Rachel mwenzio naaibu nastaki kugeuza hoja matusi kwakuwa sikuhizi hapa kwako kuna kufuli na sio kama zamani ukijisikia unamwagatu nanihino!:-(

Swahili na Waswahili said...

Tehtehtehteh kaka wa mimi mwana wa Kitururu nimekupata kiutu uzima ndugu yangu!!!!