Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday 18 January 2012

Ulale kwa Amani da'Regia!!!!!



 Poleni sana Ndugu,Jamaa,Marafiki na Taifa pia.Bwana alitoa na Bwana Ametwaa.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Pole ndugu, jamaa, marafiki na taifa nzima kwa msiba huu. Marehemu na astarehe kwa amani peponi. AMINA.

Anonymous said...

poleni wapendwa kwa msiba huu Roho ya marehemu ipumzike kwa amani

Rachel Siwa said...

AMINA WAPENDWA!!!