Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Sunday, 1 January 2012

Nawatakia Kheri na Mafanikio kwa Mwaka 2012-Solomon Mukubwa - Mfalme Wa Amani

6 comments:

EDNA said...

Heri ya mwaka mpya nawe pia mdada.

sam mbogo said...

Na wewe pia dada R. mungu akusimamie tena mwaka huu. kaka s

chib said...

Na kwako pia!

Gaston said...

Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote wa svb

Yasinta Ngonyani said...

nawe pia na natumaini utakuwa na vitu motomoto mwka huu:-)

Swahili na Waswahili said...

Ahsanteni sana sana Wapendwa!!!!da'Yasinta haswaaaaaa