Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 8 January 2012

Nawatakia J'pili Njema,Pata kibao-Tazama Nimesimama By Elisha Muliri!!!

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili njema nawe pia hicho kibao hakika haiwezekani kuacha kuungana nao hata kama unaumwa....

Rachel Siwa said...

Hahahhaah,hiki kibao/Muziki utapona tuu ndugu wa mimi,kama nakuona vileee!Burudika mwanakwetu...

sam mbogo said...

Kudadadeki wanakatika utafikiri muziki wa kidunia. mdundo mzurisana ,pamoja namuziki kwa ujumla.
asante kwa kutupa kibao hiki. haya wote j,pili njema
kaka s

Rachel Siwa said...

Ubarikiwe sana kaka wa mimi Sam,Sebene umeliona eehhh!!

EDNA said...

Mweeeh nimechelewa kukutakia jpili njema.Siyo mbaya wacha nikutakia jtatu njema mwanakwetu.

Rachel Siwa said...

Ahsante sana mwanakwetu da'Edna, hakuna kuchelewa dadake,Mungu akubariki sana!

EDNA said...

Amen,nawe pia ubarikiwe mara dufu mdada.