(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!
2 comments:
Mtoto wa nani huyu? Mbona wazazi wake watakula mapesa!
Hapo ndipo unaona kabisa damu ya Mswahili na yaMzungu tofauti hamna kabisa. Ni utamaduni tu!
Asante sana! Nami naenda kumtangaza huyo mtoto!
Duh, safi sana!
Post a Comment