Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Thursday, 8 December 2011

Siku kama ya leo kaka Henry Mwana wa Kapinga Alizaliwa!!!!!!MPIGANAJI SASA ATIMIZA MIAKA KADHAA!!!

Mpiganaji wenu Henry Kapinga wa Blog yenu ya KAPINGAZ Blog leo Tarehe 8/12 ndio siku aliyozaliwa.
Nawashukuru wale wote walionipa Hongera kwa kuukaribia uzee, sasa sijui kama ni wote mnaupenda uzee, manake fainali yake ni shughuli.
ASANTENI SANA!
Nasi Swahili na Waswahili tunakutakia kila lililojema katika maisha yako.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA KAKA HENRY KAPINGA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWE...MUNGU AKUJALIE AFYA NA MAFANIKIO MEMA KATIKA MAISHA YAKO BARAKA ZA MUNGU KWA WOTE WATAKAOPITA HAPA.