Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Friday, 2 December 2011

OMARY MJENGA NA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI NCHINI SIERA LEONE.Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone Bw Omary Mjenga akiwa na Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS Bi. Mulunesh, raia wa Ethiopia, kwenye sherehe hizo, ambazo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Sierra Leone Mh Ernest Koroma. Bi Mulunesh aliwahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS nchini Tanzania mwaka 1996 hadi 2000.


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri na nawatakieni kazi nzuri. Ni mzidi kuwa na moyo mzuri wa kuzidi kuhamasisha siku kama hii kwani inatakiwa haswaa.

Goodman Manyanya Phiri said...

Kijidudu hicho kimeiharibu sana dunia ya Mungu kweli!