Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday 8 December 2011

Chaguo la Mswahili Leo ;Les Wanyika : Paulina!!!!

4 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hapa umenifikisha "Muke ya Mubena"

Baraka kwako na yeyote atakayepitia hapa.

emuthree said...

Tupo pamoja ndugu yangu, umenikumbusha mbaali ajabu

Yasinta Ngonyani said...

ooohhh! Rachel umenikumbusha nilipokuwa kadala mama alikuwa akipenda kweli nyimbo hizi kwa hiyo nimezisikia tangu nanyonya. Ahsante.

Rachel Siwa said...

Wapendwa kube nanyi mnapenda hizi za zamani,Ahsanteni sana watu wangu,@Da'Mijaaaaaa tehtehteh, @emu-3 pamoja ndugu wa mimi,@da'Yasinta siyo Kachiki? hahahaha mimi penda nyie sana!