Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 21 November 2011

Watoto na Mambo yao,Jee umepitia hayo?

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nimeupenda huo wimbo wa saa imefika kwenda nyumbani mama amepika ugali wa nyama...Yaani haswaaaa hapa ndo penyewe nimekumbuka mbali kweli halafu huyu binti mdogo ambaye anawazuia wenzake nadhani ni wewe da´Rachel..LOL

Rachel Siwa said...

hahahhahahaaaa Da'Yasinta nanikuwa napenda mchezo kupita maelezo!!!!!wewe huyo anayeanzisha nyimbo haaha!