Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 11 November 2011

Nakutakia Ijumaa njema,pata Kitu cha Mawazo na Lady Jaydee,Haijalishi Mabaya au Mazuri!!

4 comments:

EDNA said...

kwako pia mdada,pia kawimbo kametulia.

Yasinta Ngonyani said...

Yaani Edna utadhani tulikaa pamoja na kusikiliza na tukasema tuseme hivyo yaani kawimbo kametulia haswaaaa...Jumamosi njema dada/sijui mdogo au mkubwa?,,kwikwikwiiiii

SIMON KITURURU said...

Wikiendi njema Da Rachel!

Swahili na Waswahili said...

Asanteni sana Wapendwaa! da'Yasinta mi mkubwa bwanaaaaaaaaakwikwikwikwi!