Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Saturday, 22 October 2011

Wanawake na Majukumu,Leo ni Shamim na Miaka5 ya 8020fashions.blog!!!3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana Shamim....

Tuko pamoja katika kujiamimi, kupendana na kushikamana...

Swahili na Waswahili said...

Kabisa Mwanamke wa shoka, vipi Shamim si mwanamke wa shoka?Tujipende,Tujiamini,Tushikamane!!!!!

Mija Shija Sayi said...

Unauliza Shamimu tena? Huyu ni wa Shoka bila chenga..

Bless her.