Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Saturday, 15 October 2011

Nawatakia Weekend Njema,Ujumbe; Jipe moyo-Flora Mbasha!!!!!

8 comments:

SIMON KITURURU said...

Poa sana Rachel umependeza!

Na wewe wikiendi njema kwako pia!

EDNA said...

Wikiend njema kwako pia mdada.Pia asante kwa kawimbo kazuri.

Tayanna said...

Asante sana kwa ujumbe mzuri....pendeza wewe na picha hapo kwa juu...bless you

Goodman Manyanya Phiri said...

Moyo tumeshapata, Asante!

Mija Shija Sayi said...

Asante sana Mkuu wa Tenzi, umependeza sana pia...

Mungu awe nawe..

Yasinta Ngonyani said...

nilikuwa sipo hewani kwa siku hizi mbili...Umependeza rafiki yangu..na ahsante kwa ujumbe. Na nadhani wikiendi yangu ilikuwa njema, nawe naamini umekuwa na muda mzuri.

Mija Shija Sayi said...

Eee..bwanaeeeee!!

Swahili na Waswahili said...

Ahsateni sana Wapendwa, Mwinjiristi Mija kwikwikwi Eeeee ...bwana eeeeee.