Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 12 October 2011

1 comment:

Goodman Manyanya Phiri said...

Hayo yalikuwa kama maandalizi tu ya sherehe pamoja na kukatika kwa viuno hapo mwanzoni wa video, usitishike! Sisi kama wazazi wake Tamara (mtoto wa kwanza kabisa kwa mama yake na mtoto wa kwanza kwa baba kumlea mwenyewe) tunashangazwa kila siku na umaarufu wake mtoto!


Sisi kama wazazi hatujulikani hata kidogo mitaani hapa bali yeye! Na kila ukipinda kona unamsikia mtu akikusalimia "Hali yako Baba/Mama yake Tamara?" (au kwa Kiswahili cha hapa: "Kunjani, Baba/Mama kaTamara?"

Tamara asema: "Asante, Shangazi Rachel!"