Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 18 September 2011

Siku kama ya Leo dada Levina Alizaliwa!!!!!!!

Leo ni Siku muhimu kwa  da'Levina Kimwaga.
Siku kama ya Leo familia ya Bibi na Bwana Kimwaga, Walipata mtoto wa kike na Wakamwita LEVINA!!!


Tunakutakia kila la kheri,Baraka na Mafanikio kila inapoitwa Leo.


Mungu awe nawe daima.
Karibuni Waungwana Tuduwage pamoja.





4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku ya kuzaliwa mdada!!

Tayanna said...

Happy birthday dada Levina na hongera kwa alie pata uchungu wa kukutoa kwa siku kama ya leo....Mbarikiwe sana

EDNA said...

Hongera mdada.

Simon Kitururu said...

Hongera Levina na kila la kheri!