Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 24 September 2011

Mshumaa uliozimika.Leo ni BRENDA FASSIE, Sikiliza (Vul'indlela / ...!!!

Mungu wape Faraja  Yatima ,Wajane na  wote walioondokewa na wapendwa wao.

4 comments:

sam mbogo said...

umenikumbusha kisa kimoja,kunadada mmoja alikuja juu na kuwa mkali kama mbogo, baada ya kua mbiwa 'shoga umependeza na yaaani!! umefanana na brenda Fassi'!!? na kwambia ulizuka mzozo wanguvu,yule dada aliye fanananishwa aliona hastaili na wala si mbaya wa kufanananishwa na mwana muziki huyo. tuna mmiso sanii,ni mapenzi ya mungu. kaka S

Yasinta Ngonyani said...

hata kama sielewi anasema nini ila nampenda sana Fassi na pia miziki yake.

Kaka Sam umenichekesha eti akazuka Mbogo ...ha ha ha aaa nahisi wewe huwa unazuka kila wakati.:-)

SIMON KITURURU said...

``Mungu wape Faraja Yatima ,Wajane na wote walioondokewa na wapendwa wao. ´´

Umemaliza DADA!

Ila swali la kizushi:
Hivi sio mapenzi ya MUNGu hao Yatima ,Wajane na wote walioondokewa na wapendwa wao wahuzunike?

Na hivi MAUMIVU hayachangiwi na MUNGU pia labda kwa mipango yake ambayo kibinadamu hatuielewi?

Nawaza tu kwa sauti!:-(

Swahili na Waswahili said...

Duhhh kaka Kiturutu!!!!