Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 9 July 2011

Mtoto Wetu leo ni Arianna Mbwambo!!!!!!!

                                            dada Arianna katika poziiii
                               Nina mapozi yakutosha.
                                 Nikibeba kipochi jee?

Watoto wa leo na mapozi yao!Wapendwa hivi hawa watoto haya mapozi wanayatoa wapi?
wanayaona kwenye Tv,kwa Wazazi/walezi,kwa rafiki zao au.......

Hata wakubwa nao wana mapozi ,Wengine kunyanyua mguu juu,kushika kiuno,kuweka dole,mikono kifuani na....
zile picha zetu za Studio kushika maua,je mpendwa wewe unazo?.Karibuni sana Waungwana!!!!!

5 comments:

SIMON KITURURU said...

Mmmmh!

Swahili na Waswahili said...

Kitururu mbona umeguna,umemuona binti wa kwenu hahaha vya kurithi.....

chib said...

labda Kitururu alikuwa anashangaa mtoto kutia kipochi!

emu-three said...

Siunajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka na maji hufuata mkondo....!

Anonymous said...

Hahahahaahaha watoto na fashion.....mimi nafikili wanachukua kwa wazazi wao hasa kama mama anapenda kuangalia fashion shoo za ma model au magazines na mtoto nae anaona. Mungu bariki watoto wetu na wazazi wao.Mpendwa...