Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Friday, 13 May 2011

Kutokana na Tatizo la kublog, Sabrina atafuta Njia!!!!

Tangu jana kulikuwa na tatizo la kublog,,Mtoto Sabrina akaona ngoja ajaribu kutengeneza!!!!!Alifikiri Tatizo lipo kwa Shangazi yake tuu.Wapenzi wa SwahilinaWaswahili poleni kwa Usumbufu wowote uliojitokeza sasa tunaendelea kama kawaida.

5 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Thanks, Engineer Sabrina!

SIMON KITURURU said...

:-)

Mfalme Mrope said...

lakini si ni yeye ndie aliturudisha hewani au??? Mpe sifa zake na wiki endi njema dadaangu...!!!

Anonymous said...

mmmhhhhhh!!!!!! hongera binti

Swahili na Waswahili said...

Asanteni wapendwa!!!@kaka Mrope zimefika kwikwiwkiw ni yeye ndiyo amerudisha!!!!!!!