Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 3 March 2011

Mtoto wetu leo ni Naomi Nyembo!!!!!Mswahili anayeishi Holland!!!!!!!!


Naomi ni mtoto mcheshi na mdadisi mwenye vituko vingi sana , Anayependa shule, picha,kula,kupendeza wakati  wowote na  kupati!!.Je wapendwa matendo ya watoto wetu ni urithi kutoka kwetu,Au ni matokeo ya utandawazi? Nasubiri  maoni yako/yenu ili tuelimishane zaidi,Karibuni  wapendwa!!!!!!!!.

10 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hii kali!! Rachel umemjulia wapi huyu mtoto????

Samahani kwa kutoka nje ya mada.. walahi sikutegemea..

Swahili na Waswahili said...

hahahah da Mija huyu mwanangu mtoto wa mdogo wangu kabisa!!!!!!!je nawe unamjua/umemjulia wapi?

SIMON KITURURU said...

Mtoto kapendeza!

Mija Shija Sayi said...

Rabia mdogo wako?@Rachel

Swahili na Waswahili said...

Ndiyo @da Mija mnajuana?hapo sasa je mambo ya watoto ni yakurithi au utandawazi?unaweza kutuchambua vyema maana wewe unatujua vyema!

@kaka Kitururu asante!!

emu-three said...

Ndio taifa la leo hilo, lakini ndio maendeleo!

Mija Shija Sayi said...

kwa kiasi kikubwa ni kurithi... na suala la kupendeza wakati wote kwa Naomi nadhani karithi kwa mzazi wake mmoja, ila sina hakika kwamba yeye mwenyewe ana tabia hiyo au ni kutokana na wazazi wake wanavyomuweka..

Mzee wa Changamoto said...

Da Mija na mimi nina uhusiano nao wa ki-blogu. Huoni tunafanana USWAHILI?
Hahahahaaaaaaa
Wacha nihamie kwa Naomi
Umependeza mwaya. Penda kuwa mwema na kusikiliza. Penda kusoma na kusomesha na PENDA KUWA NA WEMA
Unapendwa

rabiiiiiiiiiiiiiii said...

mambo mijja siku nyingi sister siwa ni sis wangu wa damu vp wtt hawajambo nimekumiss kinoma nakutakia upendo kwa watu wote mwanangu naomi uwe mtt bora ktk jamii nzima amin

Swahili na Waswahili said...

Asanteni sana Mungu ambariki sana mtoto wetu akue na mafanikio mema!!!

@kaka Mubelwa sawa kabisa sote ni ndugu!!!!!!!.

Tuungane pamoja katika malezi ya watoto wetu!.

karibu sana na tuendeleeeee!!!