Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 3 January 2011

Jikoni leo ni kwa mama Tunu Pinda!!!!!!!!!!!!

6 comments:

Mija Shija Sayi said...

Duh! Kweli nimeamini hii ni familia ya mkulima.

Unknown said...

Mkulima haswaa!!

Simon Kitururu said...

Kinachonitia wasiwasi UKULIMA wa PINDA hautoi changamoto kwa kuelimisha WAKULIMA jinsi ya kuendelea kwa kuwa anautumia kama SIASA kuonesha watu kuwa ni mtu wa kawaida kama Watanzania wengine kitu ambacho inaweza kuwa sio kweli.

Ningeheshimu autumiavyo UKULIMA kisiasa kama angekuwa anautumia kuwa mfano...
...kwa mfano badala ya kutegemea KUNI ajaribu kuwafanya wakulima na wafugaji kuanza kustukia mbolea za wanyama gesi yake ni umeme tosha na pia jikoni unawasha tu na kufaa kupikia na kama aonyeshavyo Mkuu Malkiory kwenye blogu yake mara kwa mara.


Kikubwa kila auingiziavyo ukulima siku hizi nahisi ni kiini macho hasa kutokana na kutoona mchango wake kwa wakulima ambao kwa wafikiriao hawana maisha ya PINDA.:-(

Ni mtazamo tu!

Rachel Siwa said...

Aksanteni wapemdwa kwa mawazo yenu!!
Kaka Kitururu naungana nawe basi kama yeye mtoto wa mkulima anawasaidiaje wakulima wengine hii kama danganya toto!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Danganya toto ....namaliza kula kunde mbichi...

Rachel Siwa said...

hahhaaa da Yasinta wewe ulikuwa mchokozi sana utotoni!